Home
Unlabelled
TAMKO LA CHAMA CHA WAHASIBU TANZANIA (TAA)
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
haaaaaa matamko yatatoka sana ila kama TAA ingekuwa serouse nadhani mpaka leo nusu ingeshatemwa.wahasibu ni moja ya maangamizi ya kifisadi kwenye Taifa letu ila mi nadhani Mungu katuona naweza sema kwa sasa mzalendo ni mmoja tu Raisi wetu ila wengine ni kudandia behewa tu.Mi nashindwa kuelewa hapo Tanzania meno ya bodi au mamlaka za wahasibu ni zaidi ya mahakama ila hapo TZ ni majanga tupu.wahasibu wanapiga pesa sana so TAA plz tupishe na Magu wetu mtakuwa mnahesabu hatua zetu mpaka tuwachuje wenyewe.
ReplyDeletehata combi za uchumi sasa hivi zitakosa vijana maanake walikuwa wanaingia ili wakapige mapanga.
ReplyDeleteTAA Mnatia aibu sana , yani hata website hamna. Hayo mabadiliko mnayoyaanza kutangaza baada ya Dkt Magufuli kuingia madarakani yaanzie kwenu. You dont seem to be serious, AT ALL !!!!!!!!!! SHAME ON YOU. Nyinyi mmechangia wahasibu kuonekana hivi wanavyooonekana sasa . Badilikeni .
ReplyDelete