Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. haaaaaa matamko yatatoka sana ila kama TAA ingekuwa serouse nadhani mpaka leo nusu ingeshatemwa.wahasibu ni moja ya maangamizi ya kifisadi kwenye Taifa letu ila mi nadhani Mungu katuona naweza sema kwa sasa mzalendo ni mmoja tu Raisi wetu ila wengine ni kudandia behewa tu.Mi nashindwa kuelewa hapo Tanzania meno ya bodi au mamlaka za wahasibu ni zaidi ya mahakama ila hapo TZ ni majanga tupu.wahasibu wanapiga pesa sana so TAA plz tupishe na Magu wetu mtakuwa mnahesabu hatua zetu mpaka tuwachuje wenyewe.

    ReplyDelete
  2. hata combi za uchumi sasa hivi zitakosa vijana maanake walikuwa wanaingia ili wakapige mapanga.

    ReplyDelete
  3. TAA Mnatia aibu sana , yani hata website hamna. Hayo mabadiliko mnayoyaanza kutangaza baada ya Dkt Magufuli kuingia madarakani yaanzie kwenu. You dont seem to be serious, AT ALL !!!!!!!!!! SHAME ON YOU. Nyinyi mmechangia wahasibu kuonekana hivi wanavyooonekana sasa . Badilikeni .

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...