Ndugu Crammer Chiduo wa Tabata Dar es salam anasikitika kutangaza kifo cha kaka yake Dr Elizer Chiduo kilichotokea siku ya Jumamosi tarehe 27/12/15 katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili jijini Dar es salaam.
Misa ya kumuombea marehemu pamoja na kutolewa kwa heshima za mwisho kwake itafanyika nyumbani kwake Chuo Kikuu cha Dar es salaam Jumatatu tarehe 28/12/15 kabla ya kuanza safari ya kuelekea Kilosa mkoani Morogoro katika kijiji cha Magubike kwa mazishi yanayotarajiwa kufanyika siku ya Jumanne tarehe 29/12/15.
Bwana alitoa na Bwana ametwaa
jina lake na Lihimidiwe.
jina lake na Lihimidiwe.
Amen
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...