Mkurugenzi
wa TASAF ,Bwana Ladislaus Mwamanga (picha zifuatazo)akiwatunuku vyeti
wafanyakazi bora wa idara mbalimbali za taasisi hiyo kwa mwaka 2015.
Mkurugenzi Mtendaji wa TASAF,Bwana Ladislaus Mamanga
akihutubia wafanyakazi wa TASAF (hawapo pichani) kwenye ukumbi wa mikutano wa
taasisi hiyo jijini DSM.
Wataalamu waelekezi wakiwa katika
picha ya pamoja na Menejimenti ya TASAF.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...