Waziri
Mkuu, Kassim Majaliwa akimkabidhi kikombe, Mkurugenzi wa Rasilimali
Watu na utawala wa benki ya CRDB, Bi Ngalija wakati wa kutoa zawadi
katika hafla hiyo. Kutokea (kulia) ni Balozi wa Norway hapa nchini,
Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens
Turuka, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki na Makamu
Mwenyekiti wa ATE, Zuhura Muro. 

Mwakilishi
wa Kampuni ya Maswala ya Kisheria ya Yakubu & Associates Chamber,
Dkt. Timoth Kyepa akipokea tuzo kutoka kwa kwa Waziri Mkuu Kasim
Majaliwa wakati wa kuhitimisha hafla hiyo. Kulia ni Balozi wa Norway
hapa nchini, Hanne-Marie Kaarstad, Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu,
Dkt Florens Turuka, Katibu Mkuu wa TUCTA, Mwkt wa ATE, Mh. Almasi Maige,
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Saidi Meck Sadiki, Makamu Mwkt wa ATE,
Zuhura Muro, Mkurugenzi Mtendaji wa ATE na Dkt. Aggrey Mlimuka.

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akimpongeza Bwana, Norman Msigala wa CCBRT baada ya kutoa hotuba nzuri katika hafla hiyo.
Katibu Mkuu wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Dkt Florens Turuka, akiongea katika hafla hiyo.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...