Bondia Thomas Mashali (kushoto) akioneshana umwamba na Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi
Bondia Thomas Mashali akikwepa konde la Francis Cheka wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika uwanja wa Jamhuri mjini Morogoro jana siku ya Krismasi. Mashali alishinda kwa point mpambambano huo usiokuwa wa ubingwa wa raundi kumi. Picha na Super D Boxing coach
Home
Unlabelled
THOMAS MASHALI AMSHINDA FRANCIS CHEKA KWA POINTI KWENYE MPAMBANO WAO MJINI MOROGORO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...