Home
Unlabelled
Tume ya Haki za Binadamu yalaani hatua za Viongozi kuwaweka rumande watumishi wa umma kwa makosa ya kinidhamu
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, hata nyie ndugu zangu mna mashaka hiyo tume yenyewe ipo ipo tu wala sielewi hasa kazi yenu wezenu wakichukua hatua ili kukomesha uzembe umungu mtu nyie ndio mnajitokeza na kupinga mbona hatuoni mkijitokeza na kupinga haki za watoto yatima wanaozagaa mitaani? mimi nipo huku UGAIBUNI lakini kwa jinsi nilivyo msikia akisema Mkuu wa wilaya ya Kinondoni ndugu Paul Makonda why amechukua uwamuzi ule wa kuwasweka ndani wale maofisa wa Ardhi to be honest mimi nimemuelewa 100% pasipo nashaka haiwezekani wanachi wanauwana kwa ajili ya migogoro ya Ardhi zaidi ya miyaka 4 na pasipo kuchukua hatua yoyote hao maofisa Ardhi lakini ndugu Makonda alipokutana na wale wanachi nakuongea nao na baada kuelezwa kua wanachi wengi wanakufa kutokana na uzembe wa hao maofisa Ardhi ndio maana ndugu Makonda ameenda kuwaona wale maofisa Ardhi na waka kubali ana wakutane siku flani na muda flani ili waongee kiundani na kutatua matatizo ya wale wanachi lakini cha ajabu na kushangaza wale maofisa Ardhi hawakufika ule muda waliokubaliana baada ya masaa kama mawili ndio wamefika sasa hapa swali langu ni hivi ndugu Paul Makonda na maofisa Ardhi ni nani hasa anae cheza na #hakizabinaadamuuuu? jibu zuri ni hao maofisa Ardhi so ndugu Paul Makonda ana haki ya kuwasweka ndani hawa wazembe ili siku nyingine wajifunze kutokana na makosa hongera sana ndugu Paul Makonda kwa ushupavu wako.
ReplyDelete