Magogo ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa karatasi.
 Vipande vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine ya kutengeneza karatasi. 
 
Matius Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo waliotembelea kiwandani hapo. 


 Mhandisi wa madawa (chemical engineer) Beatrice Kigodi (mwenye shati jeupe) akitoa maelezo juu ya upimaji wa karatasi zinazozalishwa na kiwanda hicho. Kulia kwake ni Mhandisi Happiness Mgalula (Naibu Katibu Mtendaji- Miundombinu na Huduma, Mkurugenzi Mkuu Bw Y. Y. Choudary na Paul Sangawe, Naibu Katibu Mtendaji (Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Kiuchumi) 
 Baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya Maendeleo wakiangalia gurudumu za karatasi zikiwa  tayari kwa kusafirishwa.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. I see! kumbe Tanzania tunaexport karatasi??.Nadhan kuna haja ya kutazamwa upya uingizaji wa karatasi kutoka nje ya nchi.Kiwanda hiki kikiboreshwa kitaongeza ajira na kitazuia uingizwaji wa karatasi toka nje.Uzalishaji wa miti TZ ni mkubwa na Soko la karatasi kwa hapa kwetu Tz ni kubwa sana.Kiwanda hiki kiboreshwe tu.Mzee wa KAZI TU nadhan keshaliona hilo.Something must be done here!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...