Magogo
ambayo yanasagwa na kuwa vipande vidogo vidogo ambavyo vinasagwa na kuwa
karatasi.
Vipande
vidogo vidogo vya miti vikiwa katika mkanda (conveyer belt) wa kupeleka kwenye mashine
ya kutengeneza karatasi.
Matius
Makupa, Meneja wa Kiwanda cha Karatasi cha Mufundi akitoa maelezo juu ya
utengenezaji wa karatasi kwa timu ya ukaguzi wa miradi ya maendeleo
waliotembelea kiwandani hapo.
Mhandisi wa madawa (chemical engineer) Beatrice Kigodi (mwenye
shati jeupe) akitoa maelezo juu ya upimaji wa karatasi zinazozalishwa na
kiwanda hicho. Kulia kwake ni Mhandisi Happiness Mgalula (Naibu Katibu Mtendaji-
Miundombinu na Huduma, Mkurugenzi Mkuu Bw Y. Y. Choudary na Paul Sangawe, Naibu
Katibu Mtendaji (Ushirikiano wa Kimataifa na Maendeleo ya Kiuchumi)
Baadhi ya wajumbe wa timu ya ukaguzi wa miradi ya
Maendeleo wakiangalia gurudumu za karatasi zikiwa tayari kwa kusafirishwa.
I see! kumbe Tanzania tunaexport karatasi??.Nadhan kuna haja ya kutazamwa upya uingizaji wa karatasi kutoka nje ya nchi.Kiwanda hiki kikiboreshwa kitaongeza ajira na kitazuia uingizwaji wa karatasi toka nje.Uzalishaji wa miti TZ ni mkubwa na Soko la karatasi kwa hapa kwetu Tz ni kubwa sana.Kiwanda hiki kiboreshwe tu.Mzee wa KAZI TU nadhan keshaliona hilo.Something must be done here!
ReplyDelete