SIMU.TV: Profesa Lipumba aachiwa huru. Rais Magufuli atoa siku 7 kwa waliokwepa kodi. Shule binafsi marufuku kuongeza ada; https://youtu.be/7bO6JnD7hNA
SIMU.TV: Makontena 2431 yatoka TPA bila ushuru. Serikali yajipanga kuifumua TANESCO. Kito cha radio Hits FM chavamiwa, chachomwa; https://youtu.be/inH-0GdWXoo
SIMU.TV: Vigogo TRA wakutwa na mamilioni nyumbani. Mama lishe akutwa akipika chakula juu ya chemba ya maji taka; https://youtu.be/6f0nyf3sqRg
SIMU.TV: Ngoma apewa Sh. Milioni 200. Tambwe apata gonjwa la ajabu. Straika hatari asaini miaka mitatu Simba; https://youtu.be/WddwexVxOdk
SIMU.TV: Songas yatishia kuzima mitambo yake ya umeme kutokana na fedha inayoidai TANESCO. Wataka kubomoa kaburi la Mawazo. Pata habari za kina katika magazeti ya leo Disemba 2.2015; https://youtu.be/44X9CLV5XfU
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...