Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 12 mpaka sasa

  1. MCC will very soon be irrelevant to Tanzania. We will fully fund our budget very soon

    ReplyDelete
  2. Natamani kuona hatua kali zaidi ya hii kama mashinikizo ya kiuchumi mikopo na misaada

    ReplyDelete
  3. Anon wa kwanza, endelea kutukana mamba kabla ya kuvuka mto, na kuwatukana wakunga wakati ma-ovary yamejaa mayai. Magufuli akipita mtapata wapi mwengine kama yeye wakati 99% wana damu ya ufisadi, hata waumini wa dini?

    ReplyDelete
  4. we dont care we have enough resources and we will do it ourselves anyway, our president dont give up,China waliweza bila hao US and so are we

    ReplyDelete
  5. nafikiri wakati umefika sasa kwa nchi za africa kuachana kabisa na mawazo tegemezi. ni ujuinga na ubumbafu mtu mzima mweneye akili na nguvu zako kutegemea usaidiwe badala ya kupigana kufa na kupona ili uwwe na kitu chako mwenyewe. Africans sasa tuwe na mawazo tufauti. Chetu ni chetu na chao ni chao! Tuone aibu kuomba!!! Nukta...

    ReplyDelete
  6. Hatufanyi tena kosa kuchagua wasio na uchungu na nchi. Tutamshauri Rais wetu na washauri wake waweke mfumo bora utakaotuvusha.Hivyo watoa misaada wasitusinange sana. Sisi ni matajiri tukiwabana mafisadi sawasawa

    ReplyDelete
  7. hawa huwa wakisha choka hutafuta tusababu hata kama mahusiano ya hiyo sababu na jambo lenyewe viko mbalimbali ukweli siku hizi hakuna aliye tayari kumsaidia mwenzake akipata saba tena ndoo huitumia kama ipasavyo wakipenda watasaidia wasipopenda shauri zao wao mpaka leo marekani kuna ubaguzi wa wazi katai ya black na white hata obama wajamjaribu sana tu kwa ubaguzi wao wafanye wapendavyo nasi watuache yetu tunajuwa tutakavo yatatuwa wenyewe si kwamba hakuna matatizo ila wamezidi sana wanajidai kunyoosha huku wakati kwao kumepinda mpka basi

    ReplyDelete
  8. Mhe. Dr Ashatu Kijaji kawaambia TRA wafanye kazi tu kuuimarisaha makusanyo ya Taifa na kuhimiza tukifanya hivyo na kuzalisha zaidi kwenye sekta zetu mbali mbali hatuna shida ya kuwapigia wafadhili magoti! I couldn't agree more. Twendeni China tukachukue mikopo ambayo tukiwa na nifhamu inayoonyeshwa na Serikali tutaweza lipa na kughamia maendeleo yetu wenyewe. Mwalimu Nyerere alisema nvhihaiwezi kuendelea kwa kutegemea jitihada za nchi nyingine. Hiyo mcc ni kodi za Wamarekani: tuwaache wakae na kodi zao wazitumie kupambana na vita vingi wanavyopambana navyo. Sharti tuwashukuru Wamerekani kwa kutuamsha. Wamekuta Magufuli ameshastuka. Thank God hatua lali tena. Hapa Kazi tu!

    ReplyDelete
  9. Nakubaliana na annony anayesema hawa jamaa wamechoka wamejitafutia sababu tu. Hata fedha za kusaidia wakimbizi huko Ulaya wameshindwa kutoa. Sisi tuna Magufuli. Hapa kazi tu.

    ReplyDelete
  10. "The Board’s governance concerns reflect longstanding MCC principles. The nullification of election results in Zanzibar halted an otherwise orderly and peaceful electoral process. The use of the Cybercrimes Act of 2015 during the elections to arrest individuals accredited by the National Electoral Commission inhibited fundamental freedoms of expression and association"

    HII NI KUINGILIA SIASA ZA NDANI YA NCHI. HII NI KUTUDHALILISHA NA KUTUFEDHEHESHA. NI BEI YA UMASKINI TU. WAO WANAMFUKUZA EDWARD SNOWDEN! HIYO NDIO DEMOKRASIA WAKATI KATOA MAMBO YOTE YA UKWELI NA UJANGILI KUHUSU SERIKALI YAO?

    HAWA WA KUZARAULIWA NA KUPUUZWA TU. NCHI YA KUSHIRIKIANA NAYO SIKU HIZI CHINA UKITAKA MAENDELEO. LAZIMA TUJUE MASLAHI YETU KAMA NCHI YAKO WAPI. MKUBWA DUNIANI SI MMOJA TU TENA. TUSIKUBALI KUWA VIKARAGOSI ETI KWA KUWA TUNASIMAMIA UCHAGUZI WETU KWA NJIA AMBAYO HAIJAMFURAHISHA MFADHILI!!!'

    ReplyDelete
  11. Mengine yanachekesha kweli kweli. Hivi Wamarekani wanao ushahidi kwanini hilo shirika lisilo la kiserikali lililoingilia uchaguzi liligungiwa? Wao wanajifanya kujua zaifi yetu wenyewe. Hivi kwani kesi imeisha? Washirika wao wameguswa pabaya sasa wanalia. Kweli ni kutafuta visingizio tu. Hali yao mbaya . Huoni hata wamepandisha riba ya dola kupata fedha zaidi. Hebu watuache na Magufuli wetu.

    ReplyDelete
  12. "Endelea kutukana mamba kabla hujavuka mto"

    Ikiwa on only ONE occasion, 200m TZS zimenunua vitanda 500, magodoro 600, mashuka, mito na foronya vyote vipya...

    Now calculate, yame"zinduliwa" mabunge mangapi? JKN mabunge 40, ALM mabunge 10, BWM mabunge 10, JMK mabunge 10,

    JPM bunge 1...

    "Tisa disemba" 2015, 4 Billion "za sherehe" zinajenga BARABARA MPYA...

    Piga 4 Billion TZS mara "Tisa Disemba" za miaka 70. Zingejenga barabara ngapi.

    Recently JPM katangaza matrilioni ya elimu bure.

    Kwa nini usiamini wewe ni kiboko wanting to cross a crocodile infested river?

    ; )

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...