Baadhi ya waandishi wa habari wakiwa katika harakati za kuchukuwa matukio wakati Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa alipofany ziara ya kukagua mradi wa mabasi yaendayo haraka- UDART Desemba Jumamosi 19, 2015. Inafurahisha kuona wanagabari wasichana wanaopiga picha wanazidi kuongezeka idadi na kula sahani moja na kaka zao bila wasiwasi
Home
Unlabelled
Wanahabari wapigapicha wasichana kazini
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
kweli wapo kazini ila dressing yao haipo kikazi!
ReplyDelete