Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 9 mpaka sasa

  1. Ukosefu wa maadili. Walitakiwa kusaidia ulinzi wenyewe ndo wanywa bure bila aibu. Na inaonekana kawaida.

    Dhambi

    ReplyDelete
  2. For real??!!??!!

    ReplyDelete
  3. tabia mbaya sana hii.. ndio maana wakivamia magari ya mafuta yaliyopata ajali wanakufa hovyo kwa kupenda vya bure. hilo gari hapo likilipuka watasemaje?

    ReplyDelete
  4. Wale jamaa wanaosemaga hakuna maandamano sababu ya kipindupindu wako wapi??

    ReplyDelete
  5. Halafu mwandishi asema wafaidi. Hii huchochea tabia hii. Alitakiwa kusema wananchi waharibu wakosea washindwa kusaidia kwenye ajali. Kauli ya mwandishi inaeeza kujenga au kubomoa jamii.

    ReplyDelete
  6. Usile kisicho jasho lako. Hiyo ni kanuni ya maadili.

    ReplyDelete
  7. Gari ina insurance kwa hiyo ndio maana unaona hata wenye gari wanawaachia wanywe. Watapata hela zaidi ya marakumi ya hizo.

    ReplyDelete
  8. Wenye gari wamepatwa na mshtuko, hawaamini ya kwamba wametoka salama, bila michubuko au mikwaruzo. Suala la kuanza kufukuzana na wizi wa soda wala halikuwaingia akilini. Yaani watu wanajichukulia soda zisizo za kwao, kama vile wanateka maji kisimani, hata visima vingine inabidi uombe. Walio iba soda wote ni "common thieves".

    ReplyDelete
  9. Video imefika kwa kamanda msangi. Sura zote zilizokunywa soda bila malipo....

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...