Home
Unlabelled
WANANCHI MBEYA WAFAIDI BAADA YA GARI LA SODA KUPIGA MWELEKA......
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Ukosefu wa maadili. Walitakiwa kusaidia ulinzi wenyewe ndo wanywa bure bila aibu. Na inaonekana kawaida.
ReplyDeleteDhambi
For real??!!??!!
ReplyDeletetabia mbaya sana hii.. ndio maana wakivamia magari ya mafuta yaliyopata ajali wanakufa hovyo kwa kupenda vya bure. hilo gari hapo likilipuka watasemaje?
ReplyDeleteWale jamaa wanaosemaga hakuna maandamano sababu ya kipindupindu wako wapi??
ReplyDeleteHalafu mwandishi asema wafaidi. Hii huchochea tabia hii. Alitakiwa kusema wananchi waharibu wakosea washindwa kusaidia kwenye ajali. Kauli ya mwandishi inaeeza kujenga au kubomoa jamii.
ReplyDeleteUsile kisicho jasho lako. Hiyo ni kanuni ya maadili.
ReplyDeleteGari ina insurance kwa hiyo ndio maana unaona hata wenye gari wanawaachia wanywe. Watapata hela zaidi ya marakumi ya hizo.
ReplyDeleteWenye gari wamepatwa na mshtuko, hawaamini ya kwamba wametoka salama, bila michubuko au mikwaruzo. Suala la kuanza kufukuzana na wizi wa soda wala halikuwaingia akilini. Yaani watu wanajichukulia soda zisizo za kwao, kama vile wanateka maji kisimani, hata visima vingine inabidi uombe. Walio iba soda wote ni "common thieves".
ReplyDeleteVideo imefika kwa kamanda msangi. Sura zote zilizokunywa soda bila malipo....
ReplyDelete