Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (kushoto), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za
TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama).
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-Utumishi na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (kulia), akipewa ufafanuzi kuhusu kazi za Idara ya Huduma za
TEHAMA-Utumishi na Mkurugenzi wa Idara hiyo Bw.Priscus Kiwango (aliyesimama).
Waziri
wa Nchi, Ofisi ya Rais-UTUMISHI na Utawala Bora Mhe. Angella Kairuki
(Mb) (KULIA) akitoa maelekezo kwa watumishi wa Idara ya Huduma za
TEHAMA-Utumishi.

Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...