Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha
Waziri mpya wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa
kwenye ofisi yake mpya wizarani hapo, alipowasili kwa mara ya kwanza
mara baada ya kula kiapo ikulu, jijini Dar es Salaam leo.
Katibu wa iliyokuwa Wizara ya Ujenzi Eng. Mussa Iyombe akimkaribisha
Waziri mpya wa Wizara ya Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame
Mbarawa, kuongea na Viongozi wa Wizara na watendaji wa Taasisi zilizo
chini ya wizara hiyo.
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Prof. Makame Mbarawa,
akiongea na viongozi na watendaji wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo
alipokuwa akijitambulisha kwao mara baada ya kuwasili wizarani hapo jijini
Dar es Salaam.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...