Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.
Home
Unlabelled
WAZIRI WA AFYA, MHE. UMMY MWALIMU ATEMBELEA MSD, AAHIDI KUWA BALOZI WAO NA KUWATATULIA CHANGAMOTO ZINAZOWAKABILI IKIWEPO DENI WANALOIDAI SERIKALI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Mambo yangu kwa serikali yetu ni kunisaidia wajane na watoto wanateseka na mahakama za Tanzania....wababa waKifariki huwa shida kubwa sana kwa mama na watoto. Nashukuru sana
ReplyDeleteSi kweli kuwa wababa wa kiafrika shida kwa watoto, inategemea. Jiulize umembambikia mwanaume mtoto kwa kusingizia ni wake na kaja kugundua kisirisiri, unafikiri atakupa huduma tena ya kulea huyo mtoto? Wanaume wengi sasa tumegundua na ndiyo maana hata mimi nimepima DNA watoto wangu wote 3 na wana DNA yangu, hivyo ninampa support mke wangu ila kama ningegundua kuwa si wangu angeisoma namba huko mitaani kwani ningemtupilia mbali.
ReplyDelete