ummy-msd 175
Waziri wa Afya, maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu akitembelea moja ya ghala la kuhifadhia dawa iliyopo makao makuu ya MSD,kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa MSD Laureane Bwanakunu na watatu kushoto ni Mwenyekiti wa Bodi ya MSD Prof.Idris Mtulia.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 2 mpaka sasa

  1. Mambo yangu kwa serikali yetu ni kunisaidia wajane na watoto wanateseka na mahakama za Tanzania....wababa waKifariki huwa shida kubwa sana kwa mama na watoto. Nashukuru sana

    ReplyDelete
  2. Si kweli kuwa wababa wa kiafrika shida kwa watoto, inategemea. Jiulize umembambikia mwanaume mtoto kwa kusingizia ni wake na kaja kugundua kisirisiri, unafikiri atakupa huduma tena ya kulea huyo mtoto? Wanaume wengi sasa tumegundua na ndiyo maana hata mimi nimepima DNA watoto wangu wote 3 na wana DNA yangu, hivyo ninampa support mke wangu ila kama ningegundua kuwa si wangu angeisoma namba huko mitaani kwani ningemtupilia mbali.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...