Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 6 mpaka sasa

  1. Zamu ya mwalimu wa sayansi (hesabu na kemia). Mwanasayansi anaendesha nchi kwa sayansi ya siasa. Inonekana tutafika.

    Waliopita hawakuwa wanansayansi na waliendesha nchi kwa sanaa ya siasa. Hadi mwanajeshi ameshindwa amri bali amri hiyo ya kijeshi inawezwa na mwanasayansi.

    Tuongeze wasomi wa sayansi, tutapata viongozi wazuri.

    ReplyDelete
  2. Kama mwalimu bali zaidi.

    ReplyDelete
  3. This could be a new Chapter in the history of our country!! Let's work hard, and pray!!

    ReplyDelete
  4. Jamaa anabalance equation za kemia na ku-integrate equation za hesabu vizuri kweli. Ama kweli bila hesabu hakuna kitu utaweza kufanya. Waliopita walikuwa hawajui hesabu. serikali iwekeze zaidi kwenye hesabu.

    Ni mategemeo yangu, rais kama mwalimu ataendeleza elimu. Na tunaona kaondoa ada, bado kupandisha mishahara ya walimu na maisha bora kwa walimu, bali pia kuongeza bajeti ya elimu.

    ReplyDelete
  5. Mambo yote anayofanya magufuli asipoyaweka kwenye mfumo wa serikali basi atakuwa anatwanga maji kwenye kinu. Maana akistafu kila kitu kitakuwa hovyo.

    Kama nyerere naye hakuweka utendaji kwenye mfumo, alivyostafu na nchi ikaharibika.

    ReplyDelete
  6. TANZANIA IT'S A NEW DAY

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...