Home
Unlabelled
WBEZ 91.5 - Chicago Public Radio on President Dr. John Pombe Joseph Magufuli
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Zamu ya mwalimu wa sayansi (hesabu na kemia). Mwanasayansi anaendesha nchi kwa sayansi ya siasa. Inonekana tutafika.
ReplyDeleteWaliopita hawakuwa wanansayansi na waliendesha nchi kwa sanaa ya siasa. Hadi mwanajeshi ameshindwa amri bali amri hiyo ya kijeshi inawezwa na mwanasayansi.
Tuongeze wasomi wa sayansi, tutapata viongozi wazuri.
Kama mwalimu bali zaidi.
ReplyDeleteThis could be a new Chapter in the history of our country!! Let's work hard, and pray!!
ReplyDeleteJamaa anabalance equation za kemia na ku-integrate equation za hesabu vizuri kweli. Ama kweli bila hesabu hakuna kitu utaweza kufanya. Waliopita walikuwa hawajui hesabu. serikali iwekeze zaidi kwenye hesabu.
ReplyDeleteNi mategemeo yangu, rais kama mwalimu ataendeleza elimu. Na tunaona kaondoa ada, bado kupandisha mishahara ya walimu na maisha bora kwa walimu, bali pia kuongeza bajeti ya elimu.
Mambo yote anayofanya magufuli asipoyaweka kwenye mfumo wa serikali basi atakuwa anatwanga maji kwenye kinu. Maana akistafu kila kitu kitakuwa hovyo.
ReplyDeleteKama nyerere naye hakuweka utendaji kwenye mfumo, alivyostafu na nchi ikaharibika.
TANZANIA IT'S A NEW DAY
ReplyDelete