Home
Unlabelled
WISHING YOU ALL WADAU HAPPY HOLIDAYS
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Rekebisha grammer...ni either WE ARE WISHING YOU HAPPY HOLIDAYS au WE WISH YOU HAPPY HOLIDAYS
ReplyDeleteKaka Michu,
ReplyDeleteHiyo heading umekosea kidooogo.... nafikiri ingekuwa hivi 'We wish you Happy Holidays' sio 'wishing'
Naomba weka kapuni comment, tunasaidina
Siyo happy holidays! ni we wish you a merry Christmas, michuzi call a spade a spade!
ReplyDeleteI WISH EVERYBODY MERRY CHRISTMAS AND A HAPPY NEW YEAR!
ReplyDeleteMjomba Michuzi,
ReplyDeleteSawa tumepokea Salaamu za Sukukuu isipokuwa kwa uchache ungeandaa hata Mpunga wa Wana Jamvi au ukikosa kabisa Kahawa pale kwenye Kona yetu ya Empress Darisalama.
Ankal
ReplyDeleteHappy Christmas wewe na team-Michuzi
Tunakushukuru kwa dhati kwa yote uliyotufanyia na bila shaka utaendelea kutuletea habari na taarifa za mambo yatokeayo huko nyumbani
God bless you all and your families
ibrahim
Kingereza Kingereza Kingereza, hakuna kitu inasema We wishing you happy holidays
ReplyDeleteKingereza kikorofi kabisa kabisa
ReplyDeleteHao jamaa wanaojidai kuwa ni makujua wa kimombo bila shaka wamejifunza lugha kwa correspondence course. Bil awal hakuna kosa kusema..Michuzi media group is wishing you Happy Holidays.It may not be Queen's English but it says what it says.Its in present-continuous tense indicating that the reffered event has begun and hasn't finished. The grammar,(kaka grammar ni double m na a siyo e.) is acceptable.I write this in jest after all its Christmas.Have a very Happy CRIMBLE.
Lugha gongana Na tarehe pia
ReplyDeleteNyie mnaojifanya wajua Kimombo, acheni kujifanya wajuaji!kwani kimombo siyo lugha yake ya kuzaliwa. Kiswahili mlichoanza kukisikia mkiwa hamjazaliwa, nacho bado mnaandika kwa makosa, sa iwe lugha ya kujifunza??Ujumbe wa salam ulioelezwa hapo tumeupata... Asante Mr. Michuzi (misosi)Heri(kheri)ya Noeli na Mwaka mpya,binafsi nakutakia kila la kheri na uendelee kutupa habari mbalimbali za Bongoland
ReplyDeleteWaafrika na wabongo tuna shida saana; watu tunarekebishana kwa uzuri tu wengine wanakuja kuwaponda wanaorekebisha wenzao! Tukubari jamani kujikosoa ata siku moja na tusione noma tukikosolewa kwa maana hakuna aliye kamilika.
ReplyDeleteNapenda sana kukosolewa in either way.
Jamani tusaidiane kuelimisha Watanzania wenzetu tofauti ya L na R katika lugha ya Kiswahili. Tuombe wizara ya elimu iweke msisitizo kuanzia shule za chekechea.
ReplyDeleteThanx & be the same to you
ReplyDeleteSIONI HAJA YA KUPINGA USAHIHISHAJI.
ReplyDeleteNyie wasahihishaji wa lugha, muwe wa kwanza pia kumsahihisha na rais anayeweka R kwenye L and vice versa. Tatizo letu watanzania hatuwezi kupokea ujumbe bila kuukosoa. Na ndio maana nchi bado ipo nyuma sana kimaendeleo. Badala watu wakosoe vitu vya maana, wanakosoa lugha?! Sasa uncle akibadilisha na kuweka we wish you mtafaidika na nini?! Mscheww, hapo mkute hata hamuwezi kuongea kiingereza fasaha kwa dakika 5 mfululizo lakini mnajidai ujuaji hapa kwa Michuzi.
ReplyDeleteShukran sana uncle kwa kutuletea habari mbalimbali na heri ya mwaka mpya
Ok HERE WE GO
ReplyDeleteShukulani sana uncle kwa kuturetea habali mbarimbari na heli ya mwaka mpya
pamoja sana jomba.
ReplyDelete