Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue akizungumza na Makatibu Wakuu pamoja na Manaibu Katibu Wakuu wakati akifungua Semina Elekezi kwa Makatibu hao Ikulu jijini Dar es Salaam leo January 2, 2015
 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.

 Watoa mada katika semina elekezi hiyo wakiwa ni pamoja na (toka kulia) Makatibu Wakuu Kiongozi wastaafu Balozi Dkt. Marten Lumbanga,  Balozi Charles Sanga, Katibu Mkuu Mstaafu Ofisi ya Rais - Utumishi - Mhe. George D. Yambesi, Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Profesa Mussa Assad na wengineo
 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.
 Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam.
Makatibu Wakuu na Manaibu Katibu Wakuu wakisikiliza kwa makini Hotuba ya Ufunguzi iliyokuwa ikitolewa na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue katika Semina elekezi ya siku moja Ikulu Jijini Dar es Salaam. PICHA NA IKULU

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 4 mpaka sasa

  1. Safi sana. Naona mifumo inazidi kuwekwa sawa. Serikali safi. Tunawaombea katika kutekeleza majukumu yenu.

    ReplyDelete
  2. NI AFADHALI MMEFANYIA HAPO HAPO IKULU KULIKO KWENDA NGURDOTO HOTEL&LODGE, ARUSHA.
    HIZO FEDHA ZIENDE KWENYE ELIMU BURE.

    ReplyDelete
  3. Huyu Kingunge nani kando ya Lowassa anamjali? Hata kwa miaka kumi yeye na Lowassa wasingeweza kukusanya mapato ya siku 20 za Magufuli. Ubungo stand alipewa zote zikawa zinaishia kwake. Hebu aiache awamu hii wajitahidi. Akae pembeni.

    ReplyDelete
  4. Huyo kingunge nani? Anaemjali kwanza hana sifa za uongozi safi.pangalie pale stendi ya mkoa palivyokuwa hoi, hela zote anajaza mifukoni mwake ni mbinafsi na si mwananchi wa kujenga nchi bari ni wale wasiolitakia mema bara hili la Afrika, aende zake hukoo. Awachie vijana wenye mapenzi mema na bara hili la Afrika linalochekwa na kudharauliwa kwa ajili ya watu wachache wanaorihalibu.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...