Mkuu wa Kitengo cha Sheria Baraza la Taifa la Usimamizi wa Mazingira Tanzania (NEMC), Manchale Heche akizungumza juu ya kulinda usalama wa wananchi kimazingira na kiafya kwa ujumla kwa maeneo hayo ni hatari na wenyewe ni mashuhuda kipindi cha masika na kusababisha mafuriko.
Bomoa bomoa ikiendelea Jangwani jijini Dar es Salaam leo.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...