Bwana Harusi Masoud Masoud akimwekea mkewake Amina Mtemvu mkono kichwani wakati wa harusi yao iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee VIP Holl.(PICHA ZOTE NA KHAMISI MUSSA)
Bwana Harusi Masoud Masoud
Bi harusi Amina Mtemvu akiwa katika tabasamu baada ya hafla ya harusi yake iliyofanyika katika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam
Rais
Mstaafu Ali Hassan Mwinyi akiagana na aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la
Temeke wakati wa hafla ya ya harusi ya Amina Mtemvu iliyofanyika Ukumbi wa Diamond Jubilee (VIP) Holl, Dar es Salaam.
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...