Aliyekuwa Katibu mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata kwa sasa ni Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya
Mapato Tanzania (TRA) akikabidhi baadhi ya nyaraka kwa Katibu Mkuu mpya wa
Wizara hiyo Dkt. Yamungu Kayandabila wakati wa makabidhiano ya ofisi makao makuu ya wizara hiyo jijini Dar es salaam Jumatatu.
Aliyekuwa Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Bw. Alphayo Kidata (wa pili kutoka kulia) ambaye kwa sasa
ni Kaimu Kamishna wa Mamlaka ya Mapato Tanzania ( TRA) akimtambulisha Katibu
Mkuu Mpya Dkt. Yamungu Kayandabila (wa pili kutoka kushoto) kwa wafanyakazi wa
Wizara hiyo mara baada ya kuwasili na kukabidhiwa rasmi ofisi. Wa kwanza kushoto ni Naibu Katibu Mkuu Dkt.
Moses Kusiluka na wa kwanza Kulia ni Mkurugenzi msaidizi Rasilimaliwatu Bi.
Teddy Njau.
![]() |
Katibu Mkuu mpya Wizara ya Ardhi, Nyumba na
Maendeleo ya Makazi Dkt. Yamungu Kayandabila akizungumza na Management Team mara baada ya mapokezi
na kukabidhiwa ofisi
|
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...