
Mfano wake ni kama kuvamiwa na majambazi, kutekwa, kufanyiwa fujo ya aina yoyote, kupigwa au kujaribu kupigwa n.k. Matukio ya namna hii au yanayofanana na haya ni sehemu yetu ya maisha. Yumkini yanapotutokea huw tunachukua hatua. Na moja ya hatua ya awali kabisa tunayochukua huwa ni kujaribu kujitetea au kujikinga nayo.
Umevamiwa nyumbani na majambazi, umefanyiwa fujo njiani kwasabasbu yoyote ile na wewe unaamua kujitetea ili usidhurike, na katika kujitetea huko unasababisha kifo cha mtu, awe yule aliyetaka kufanya fujo au mwingine mpita njia. Sheria inasemaje kuhusu mkasa wa aina hii. Makala yataeleza japo mambo ya msingi kuhusu hali hii.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...