Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Utumishi na Utawala Bora , Angela Kairuki akiteta na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Ashatu Kijaji bungeni mjini Dodoma Januari 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Songwe, Philip Mulugo kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Januari 25, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wazee kutoka jimbo la Chemba Ofisini kwake bungeni mjini Dodoma Januari 25,2016. Kushoto kwake ni Mbunge wa Chemba Juma Nkamia.
(Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...