Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha J. Mshomba akitoa mada kwa Wahariri wa vyombo vya habari Tanzania chini ya Jukwaa la Wahariri, (TEF) wakati wa Mkutano Mkuu wa mwaka wa TEF mjini Morogoro leo Januari 29.01.2016. Mshomba aliwaeleza Wahariri hao WCF inakusudia kuanza kulipa mafao kuanzia julai mosi mwaka huu wa 2016. Kati ya mambo yaliyojumuisha mada hiyo ni pamoja na uchangiaji katika Mfuko, adhabu kwa mujibu wa sheria namba 20/2008. (Picha na Imma Matukio)
Mwenyekiti wa Jukwaa la Wahariri Bw. Absalom Kibanda akimkaribisha Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Fidia kwa Wafanyakazi (WCF) Bw. Masha J. Mshomba kutoa mada katika ukumbi wa Nashera Morogoro. WCF inakusudia kuanza kulipa mafao kuanzia julai mosi mwaka 2016. Kati ya mambo yaliyojumuisha mada hiyo ni pamoja na uchangiaji katika Mfuko, adhabu kwa mujibu wa sheria namba 20/2008
Mhariri Haura Shamte akizungumza
Mhariri Balinagwe Mwambugu, akizungumza
Mhariri Paul Maregesi, akizungumza
Picha ya pamoja
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...