Amiri Jeshi Mkuu, Rais Dk. John Magufuli (kushoto), akizungumza na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi, Jenerali Davis Mwamunyange wakati wa ufungaji wa zoezi la Onesha Uwezo Medani lililofanyika Monduli, Arusha hivi karibuni. Rais Magufuli amemuongezea Jenerali Mwamunyange muda wa mwaka mmoja kuliongoza jeshi hilo. (PICHA YA MAKTABA)
Home
Unlabelled
RAIS MAGUFULI AMUONGEZEA MUDA JENERALI MWAMUNYANGE KULIONGOZA JESHI
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...