Home
Unlabelled
Sampuli ya Vitambaa kwa ajili ya Vazi la Taifa
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
The mdudu, mimi chaguo langu ya kwanza na ya mwisho, na ni #marufuku kushona visiketi vifupi au ya kubana sana kwa Madada zetu na Mama zetu hapo iwe mwendo wa #Magaunimarefumpakachini na Malemba vichwani ili tuondokane na #miwigiiiiii na kwa kwetu sisi wanaume wazee yawe kama kanzu vijana shati na suruali maofisini pia shati na suruali na hakika tuta pendeza sana tena sana.
ReplyDeleteMimi napendekeza hiyo sample ya mwisho
ReplyDeleteNikiwa mmoja wa wadau wakubwa wa tasnia ya nguo nchini, na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kukamilisha Mchakato wa Vazi la Taifa, na mmoja wa wasanii tulioandaa michoro hiyo, nimefurahi kuwa kuna jambo linaendelea. Tunasubiri kwa hamu kubwa kuona nini kitaendelea, kwani sisi wanakamati tumekuwa tukisumbuliwa kila siku mtaani na wananchi ambao wamekuwa wakiulizia hatima ya Vazi letu!
ReplyDelete