Vitambaa vya Kanga vilivyopendekezwa kwa ajili ya kutumika kama Vazi la Taifa.

Vitambaa aina ya Vitenge vilivyopendekezwa kwa ajili yaVazi la Taifa


Imetolewa na
Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,
Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 3 mpaka sasa

  1. The mdudu, mimi chaguo langu ya kwanza na ya mwisho, na ni #marufuku kushona visiketi vifupi au ya kubana sana kwa Madada zetu na Mama zetu hapo iwe mwendo wa #Magaunimarefumpakachini na Malemba vichwani ili tuondokane na #miwigiiiiii na kwa kwetu sisi wanaume wazee yawe kama kanzu vijana shati na suruali maofisini pia shati na suruali na hakika tuta pendeza sana tena sana.

    ReplyDelete
  2. Mimi napendekeza hiyo sample ya mwisho

    ReplyDelete
  3. Nikiwa mmoja wa wadau wakubwa wa tasnia ya nguo nchini, na mmoja wa wajumbe wa Kamati ya Kukamilisha Mchakato wa Vazi la Taifa, na mmoja wa wasanii tulioandaa michoro hiyo, nimefurahi kuwa kuna jambo linaendelea. Tunasubiri kwa hamu kubwa kuona nini kitaendelea, kwani sisi wanakamati tumekuwa tukisumbuliwa kila siku mtaani na wananchi ambao wamekuwa wakiulizia hatima ya Vazi letu!

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...