Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Wabunge kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo Januari 24, 2016. Kutoka kushoto ni Dkt. Raphael Chegeni wa Busega, Adadi Rajabu wa Mhuheza na Jason Rweikiza wa Bukoba Vijijini.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na Mbunge wa Busega, Dkt.Raphael Chegeni kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wenyeviti wa Kamati za Bunge Ofisini kwake mjini Dodoma leo Januari 24, 2016.
Hongereni sana viongozi. Naomba niwakilishe ombi langu kwenu. Tuomba ufikie wakati uwepo utaratibu wa kutoa bajeti za mikoa na wilaya kama ilivyo kwa wizara. Tujua mikoa inachangia nini katika pato la taifa. Tujue pia kwa mwaka mikoa inatumia kiasi gani? Mambo haya yakianza kuandikwa kwa utaratibu na kuwakilishwa bungeni mambo yatabadilika. Itungwe kanuni ya kuwaruhusu baadhi ya watu wasio wabunge kama wakuu wa mikoa na wilaya kufika mbele ya bunge na kutoa ufafanuzi wa mambo fulani. Bunge likiwa na utaratibu huo nchi itabadilika. Watueleze wazi wazi wanafanya nini kuliko kupata taarifa hizo fupi fupi kupitia taarifa za habari.
ReplyDelete