Kutoka uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Simon Msuva anaipatia Yanga goli la kuongoza dhidi ya Friends Rangers; https://youtu.be/OdfOIIGrH7g

Kutoka uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Simon Msuva anaipatia Yanga goli la pili;https://youtu.be/GTm57NeJCOM

Kutoka uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Matheo Antony anaipatia Yanga goli la tatu; https://youtu.be/jaGLGX4CXXQ

Kutoka mjini Shinyanga, Jerryson Tegete anaipatia Mwadui FC goli la kuongoza;https://youtu.be/ISvrBBeCrF4

Kutoka uwanja wa taifa jijini Dar es Salaam, Pambano baina ya Yanga na Friends Rangers limemalizika kwa Yanga kuibuka na ushindi wa goli 3-0;https://youtu.be/gSsMbJfAusE

Kutoka mjini Shinyanga pambano baina ya Mwadui na Stand United yalakamika kwa Mwadui kuibuka na ushindi wa goli 1-0; https://youtu.be/NUVNaUj6Gzs

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...