Wananchi mkoani Kigoma waiomba serikali kupitia upya mradi wa uzalishaji umeme kupitia maporomoko ya mto Malagarasi.https://youtu.be/cgA6PXGShWg
Serikali ya imeitaka kampuni inayotandaza nyaya za umeme kwenye mradi mkubwa wa gridi ya taifa ya GD STRUCTURES LTD kukamilisha kazi zake kulingana na mkataba. https://youtu.be/arrqGSNxMEk
Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Magharibi visiwani Zanzibar asema licha ya changamoto zilizojitokeza ndani ya chama hicho bado kimekuwa kimbilio la wanyonge. https://youtu.be/s6fF5R33xsA
Halmashauri ya wilaya ya Uyui mkoani Tabora yavunja mkataba na kampuni ya SARAM kutoka jijini Dar es salaam iliyokuwa inajenga jengo la wagonjwa wan je baada ya kukiuka masharti ya mkataba. https://youtu.be/WcRP_SDT8Ic
Naibu waziri wa afya Dr. Kigwangala aiagiza hospitali ya mkoa wa Tabora Kitete kukusanya mapato yake kwa mfumo wa kieletroniki ili kuepuka upotevu wa mapato. https://youtu.be/K0F8XWU5UOk
Baadhi ya wananchi wilayani Korogwe mkoani Tanga wahoji kutokamilika kwa mradi wa maji licha ya kuigharimu serikali kiasi cha shilingi milioni 621.https://youtu.be/plJ9kBA2WfA
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...