SIMU.TV: TANESCO yazoa zaidi ya shilling milioni 20 baada kufanya msako wa wezi wanaolihujumu shirika hilo la umeme; https://youtu.be/WF_42psYtAc
SIMU.TV: Waliovamia eneo la hifadhi la wazee eneo la Nyungwe Kigamboni wapewa siku 21 kuboa nyumba zao na kuhama maeneo hayo; https://youtu.be/fGuqPTKDC2s
SIMU.TV: Wakazi wa vijiji vya Chalinze wanalazimika kutumia maji ya kwenye malambo ya kunyweshea mifugo kutokana na ukosefu wa maji safi na salama;https://youtu.be/DB6GcxSZXgc
SIMU.TV: Klabu ya Simba yaigomea Etoile Du Sahel kulipa kwa awamu ada ya uhamisho wa mchezaji Emmanuel Okwi; https://youtu.be/SRxE_UJADmk
SIMU.TV: Vigogo wa mamlaka ya bandari warudishwa wizarani huku nafasi zao zikichukuliwa na watumishi wengine; https://youtu.be/crvziUux9KQ
SIMU.TV: Mgogoro kati ya wafanyabiashara na halmashauti ya Nzega wafikia tamati kwa kusainishana mikataba na kuwataka wafanyabiashara hao kulipa ushuru;https://youtu.be/idxZ2T0A0YE
SIMU.TV: Makampuni za uchimbaji madini ya Tanzanite 24 yaingia matatani kwa uharibifu wa miundombinu ya umeme;
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...