Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa akisalimiana na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi kabla ya mazungumzo yao Ofisini kwake jijini Dar es salaam
Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majalaiwa akizungumza na Makamu wa Pili wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar, Balozi Seif Iddi, ofisini kwake jijini Dar es salaam Januari 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...