FAMILIA YA MAREHEMU  HUSSEIN CHOMBA WA MWENGE DAR ES SALAAM, INASIKITIKA KUTANGAZA KIFO CHA DADA YAO MPENDWA JAMILA HUSSEIN CHOMBA KILICHOTOKEA TAREHE 16/01/2016 SAA  8:30 KATIKA HOSPITALI YA HINDU MANDAL, DAR ES SALAAM. 
MAZISHI YATAFANYIKA LEO  TAREHE 17/01/2016 SAA 10:00 JIONI KATIKA MAKABURI YA SINZA. HABARI ZIWAFIKIE NDUGU JAMAA NA MARAFIKI POPOTE WALIPO. 
KWA TAARIFA ZAIDI ZA MSIBA HUU TUMIA NAMBA HII KWA MAWASILIANO. +255715297308

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Poleni sana Familia. Huyu ni Dada ya marehemu Kurusumu?

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...