JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA

OFISI YA MAKAMU WA RAIS

Nchi yetu ina kingo za mito na mabonde na maeneo mengi 

hatarishi ambamo watu wanaishi kinyume cha sheria, 
huku wakiharibu mazingira na kuhatarisha maisha yao.  
Kutokana na uhaba wa makazi, hali ni mbaya zaidi katika
 mabonde ya Jiji la Dar es Salaam, hasa bonde la Mto Msimbazi.
Serikali za awamu zote, zimekuwa zikifanya jitihada za 
kuwaondoa wakazi wa maeneo ya mabondeni wanaoishi katika maeneo hayo kinyume cha sheria lakini mafanikio yamekuwa si ya kuridhisha. 
Serikali ya Awamu ya Tano, ambayo moja ya misingi
yake mikuu ni utii wa sheria za nchi, imeanza jitihada 
za kuwaondoa wakazi hawa. Tuliamua kuanza na
Bonde la Mto Msimbazi kwasababu ndiko kwenye 
watu wengi na athari kubwa.Sababu zetu kuu za 
kufanya zoezi hili ni kusafisha mabonde na mito 
katika jiji la Dar es Salaam na mazingira yanayozunguka ni:-
Kusoma zaidi BOFYA HAPA

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...