Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Sio kuishia kwenye vyakula tu jamani.....siku hizi limeibuka wimbi la wauza mikorogo wengi sana huko instagram na facebook kila mtu anatengeneza lotion ya kuondoa vipele, alama, makunyanzi nk bila kuwa na kibali toka TBS na TFDA embu muingilie kati suala hili mnusuru watu na kansa na ngozi jamani. pia wameibuka watu wengi wanaouza dawa za kupunguza uzito, kuongeza hips na makalio, kurefusha uume nk ambazo hatuna uhakika kama zimekaguliwa na mamlaka husika . Tanzania IMEGEUKA SHAMBA LA BIBI. Dr Kigwangala hili ni jipu jingine zaidi ya lile la Dr Mwaka.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...