Mwenyekiti
wa Mfuko wa Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa
Serikali Kuu na Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jackline
Semu (kulia meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo walipokutana katika
Ukumbi wa Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam kujadili masuala
mbalimbali ya ushirikiano uliopo ndani ya umoja wao. Katikati meza kuu ni Katibu
wa Mfuko huo, Joyce Ngonyani na kushoto meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina
Kaale.
Mwenyekiti wa Mfuko wa
Kusaidiana wa Umoja wa Wanawake wa Chama cha Wafanyakazi wa Serikali Kuu na
Afya (TUGHE) tawi la Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi, Jackline Semu (kulia
meza kuu) akizungumza na wajumbe wa Umoja huo walipokutana katika Ukumbi wa
Mikutano wa Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam kujadili masuala mbalimbali ya
ushirikiano uliopo ndani ya umoja wao. Katikati meza kuu ni Katibu wa Mfuko
huo, Joyce Ngonyani na kushoto meza kuu ni Mweka Hazina wa mfuko huo, Christina
Kaale.
Picha zote na Wizara ya Mambo ya Ndani ya Nchi.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...