Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh.
January Makamba (Kushoto) akifurahia jambo na Balozi wa Norway nchini Bi.
Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo
Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la kujadili juu ya kudumisha
ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi
wa Mazingira.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto)
akiongea na Balozi wa Finland nchini Bw. Pekke Hukka. Balozi huyo na ujumbe
wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa lengo la
kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland katika
nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
Waziri wa Nchi
Ofisi ya Makamu wa Rais, (Mazingira na Muungano) Mh. January Makamba (Kushoto)
akiongea na Balozi wa Norway nchini Bi. Hanne-Marie Kaarstad. Balozi huyo na
ujumbe wake walimtembelea Mh. Waziri leo Ofisini kwake Mtaa wa Luthuli kwa
lengo la kujadili juu ya kudumisha ushirikiano baina ya Tanzania na Finland
katika nyanja za Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira.
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...