Kumekuwepo na habari za uongo na potofu katika mtandao wa jamii wa www.kenya-today.com kwamba Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli atazuru Kenya kuhudhuria kumbukumbu ya marehemu Mhe. Jaramongi Odinga na Fidel Odinga Jumamosi hii.
Inasikitisha kuona kwamba mwandishi wa Kenya anachukua nafasi ya Mwandishi wa habari wa Rais wa Tanzania kwa kuwa na ratiba ya Mhe. Rais wa Tanzania kuliko waTanzania wenyewe.
Haijulikani ni nini has nia ya mtandao huo, lakini ukweli ni kwamba ratiba hiyo ni batili na ya uongo uliotukuka. Hawa watani wetu wa jadi wana lao jambo! Wapuuzeni. Taarifa hiyo si ya kweli.
Kuona habari hio ya uongo BOFYA HAPA

Ukiona hivyo ujue Kenyatta maji ya shingo. Huu mtandao wa www.kenya-today.com ni wa uchonganishi. MSIUAMINI. Mafala sana hawa watu
ReplyDeleteYaani JPM avunje protokali, japo ni rafikiye, amtembelee Odinga kabla ya Kenyatta. Huu ni uzushi. Hapo ujue mtandao huo una nia ya kupotosha mambo. JPM kamwe hawezi kufanya hivyo. Odinga ni UKAWA wa Kenya
ReplyDeletesometimes silence is the best medicine. Just ignore them
ReplyDelete