Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Nnauye akiongea na viongozi wa COSOTA na wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa kuhusu mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.
Mkuu wa uendeshaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Abdi Zagar aliesimama akimuelekeza Mhe. Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi, kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Paul Matthysse
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Copyright Management Eas t Africa Bw. Paul Matthysse kulia akimuelekeza Waziri wa Habari , Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Nape Nnauye jinsi mfumo wa ukusanyaji wa mirahaba utakavyokuwa unafanya kazi.(Picha na Benjamin Sawe- WHUSM)

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...