Mgeni Rasmi katika Sherehe ya Kutambulisha Rasmi
Mafunzo ya Masomo ya Biashara yaliyo anza kutolewa na Chuo cha Sayansi
na Teknolojia (MUST) Ndugu,Kisa Kwejo Muwakilishi wa Meneja wa (TRA)
kwa Mkoa wa Mbeya akitoa Ufafanuzi katika Uzoefu wake katika Kazi juu
ya Biashara na kuwatia Moyo Wanafunzi wanao Soma Masomo ya Biashara
yanayoendelea kutolewa na Chuo hicho cha Sayansi na Teknolojia katika
Nyanja Mbalimbali ikiwemo...,Ujasiliamali, Uwasibu,Lasilimali
Watu,Manunuzi na Ugavi Pamoja na Biashara, hivyo Bi. Kisa Kwejo
ameshauri kwa Wanafyunzi Mbalimbali wa Masomo hayo na watakao Jiunga
na Masomo hayo kujikita katika Fulsa ya Kujiajiri mara baada ya kupata
Mafunzo hayo ya Biashara,
Mkuuu wa Darasa la Mafunzo ya Masomo ya Biashara
Chuo Kikuu cha Sayansi na Teknolojia (MUST) kilichopo Jijini Mbeya
akizungumza katika Hafla hiyo ya Kutambulisha Rasmi Mafunzo ya Masomo
ya Biashara yanayoendelea kutolewa na Chuo hicho na kuwataka Wadau
Mbalimbali wa Biashara, Wanafunzi, Wazazi, Waalimu na Vyombo
Mbalimbali vya Habari kutambua kuwa Chuo cha Must Mbeya hakitowi
Mafunzo ya Sayansi na Tecknolojia pekeyake pia kina toa Mafunzo ya
Masomo ya Biashara na kinawakaribisha Wanafunzi kutoka Sehemu
Mbalimbali kujiunga na Chuo hicho Kujifunza Masomo ya
Bishara.
Mgeni Rasmi Bi. Kisa Kwejo akitoa Zawadi
kwa Mmoja wa Wanafunzi wa Chuo hicho cha Sayansi na Teknolojia (MUST)
anaefanya vizuri katika Masomo ya Biashara....
Picha ya
Pamoja.
PICHA ZOTE NA
MR.PENGO MMG MBEYA,
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...