Gari aina ya NOAH Namba T378 BYH rangi nyeupe imekamatwa huko nachingwe mkoani lindi. Baada ya uchunguzi polisi wamebaini kuwa rangi ya awali ya gari hiyo ni TRIM na mmiliki wake halali ni ABDALA MOHAMED MCHONDA P.O.BOX 1370 DAR ES SALAAM. Namba original za gari ni T 223 CUX. Yeyote mwenye taarifa ya kupotea gari yenye maelezo hayo awasialiane na Polisi Nachingwea kupitia RTO LINDI [0658 376074].

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

0 comments so far,add yours

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...