Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi pamoja na Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya Mama Ardhi Alliance wakikata utepe kama ishara ya kuzindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi.
Mkurugenzi wa Woman Fund Tanzania Mama Mary Lusindi akionyesha huku Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance) na wanachama wenzake wakifurahia mara baadea ya kuzindua rasmi taasisi hiyo ambayo kazi yake kubwa ni kuwatetea wanawake katika masuala mbalimbali yanayohusu umiliki wa Ardhi, Kulia ni Mkurugenzi Mtendaji wa TAWLA Tike Mwambipile.

Kaimu Mkurugenzi wa Kituo Cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) Imelda Lulu Urio kushoto ambaye pia ni Mwenyekiti wa Taasisi ya(Mama Ardhi Alliance) akisaini kulia ni Naemy Silayo Program Officer Gender And Children Unit wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC).
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
BOFYA HAPA KWA PICHA ZAIDI
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...