Home
Unlabelled
MAADILI YA VIONGOZI WA UMMA NI YAPI ??! JE HILI HALIMO?
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
MichuziBlogV2Most read Swahili blog on earth
Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.
Huyo Mbunge mbona kama vijana wa kihuni? Wananchi muwe makini mnapochagua viongozi. Wanakabana bungeni mpaka mitaani!!! Hatari.
ReplyDeleteDon't` argue with a fool....., Pongezi Richard kwa kutobishana na mjinga,
ReplyDeleteHii mbaya sana, halafu wapambe wake bado wanamuita "muosha miwa", hovyo kabisa, kiongozi gani umejaa jazba kama mbilimbi vile. Kasesela ameonyesha utu uzima na ukomavu. Mimi si mwanasheria lakini huyo "muosha miwa" pengine ana kesi ya kujibu.
ReplyDeleteThe mdudu, huyo mwenye shati jeupe hafai kuwa kiongozi toa haraka hii ni serikali ya awamu ya 5 nidham na kupiga mzigo kisawasawa ndio inaendana na kauli mbiu ya hapa kazi 2
ReplyDeleteKaribuni kwenye dunia ya ushindani katika siasa, hapa cha mtoto, uko kwingineko watu waheshimiwa wanapigana kick boxing?! Na hapa ndio tunaanza, mtayaona mengi!!
ReplyDeleteMkikaa kwenye maadili au staha mambo hayaendi, ndio matokeo yake kila raisi akianza awamu analalmikia uozo!! Heshima ya utendaji itakuja zikianza kurushwa kidogo!!
Huyu mbunge hamaki zitamponza. Ikiwa akiwa kazini hivi, je huko nyumbani na mtaani si hatari? Anaposema Manispaa ni yao wao, na huyo DC ameletwa tu, .. na wenzie watatu waliondoka sielewi anamaanisha nini hasa. Inapaswa ufanyike uchunguzi hapo pengine ana hila zaidi ya hizi. Hasa anaposema nanukuu, .." mimi nimeshinda kwa stretegies..." ni kauli ya kusadikika hii.
ReplyDeleteKiongozi mwenye busara hapayuki hovyo kwa taarifa kutoka mitaani. Anajionyesha hana maadili ya uongozi hata kidogo. Hakubali kukoselewa, jamani tunapochagua wawakilishi tusishabikie kwa ukabila tu.
Inahuzunisha sana kuona viongozi wakigombana mbele ya wananchi.
Jaziba ni sehemu ya maisha ya uongozi, wala msimshangae, hata Papa Francis mlimuona juzi alivyohamaki! Na bado...............
ReplyDelete