Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 7 mpaka sasa

  1. Huyo Mbunge mbona kama vijana wa kihuni? Wananchi muwe makini mnapochagua viongozi. Wanakabana bungeni mpaka mitaani!!! Hatari.

    ReplyDelete
  2. Don't` argue with a fool....., Pongezi Richard kwa kutobishana na mjinga,

    ReplyDelete
  3. Hii mbaya sana, halafu wapambe wake bado wanamuita "muosha miwa", hovyo kabisa, kiongozi gani umejaa jazba kama mbilimbi vile. Kasesela ameonyesha utu uzima na ukomavu. Mimi si mwanasheria lakini huyo "muosha miwa" pengine ana kesi ya kujibu.

    ReplyDelete
  4. The mdudu, huyo mwenye shati jeupe hafai kuwa kiongozi toa haraka hii ni serikali ya awamu ya 5 nidham na kupiga mzigo kisawasawa ndio inaendana na kauli mbiu ya hapa kazi 2

    ReplyDelete
  5. Karibuni kwenye dunia ya ushindani katika siasa, hapa cha mtoto, uko kwingineko watu waheshimiwa wanapigana kick boxing?! Na hapa ndio tunaanza, mtayaona mengi!!

    Mkikaa kwenye maadili au staha mambo hayaendi, ndio matokeo yake kila raisi akianza awamu analalmikia uozo!! Heshima ya utendaji itakuja zikianza kurushwa kidogo!!

    ReplyDelete
  6. Huyu mbunge hamaki zitamponza. Ikiwa akiwa kazini hivi, je huko nyumbani na mtaani si hatari? Anaposema Manispaa ni yao wao, na huyo DC ameletwa tu, .. na wenzie watatu waliondoka sielewi anamaanisha nini hasa. Inapaswa ufanyike uchunguzi hapo pengine ana hila zaidi ya hizi. Hasa anaposema nanukuu, .." mimi nimeshinda kwa stretegies..." ni kauli ya kusadikika hii.

    Kiongozi mwenye busara hapayuki hovyo kwa taarifa kutoka mitaani. Anajionyesha hana maadili ya uongozi hata kidogo. Hakubali kukoselewa, jamani tunapochagua wawakilishi tusishabikie kwa ukabila tu.

    Inahuzunisha sana kuona viongozi wakigombana mbele ya wananchi.

    ReplyDelete
  7. Jaziba ni sehemu ya maisha ya uongozi, wala msimshangae, hata Papa Francis mlimuona juzi alivyohamaki! Na bado...............

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...