Mshindi wa pili wa mashindano ya Techno Own Stage, Faustina Mfinanga aka Nandy,akiwa uwanja wa ndege wa Mwalimu Juliusi Nyerere , baada ya kuwasili kutoka Nageria katika mashindano hayo, jana jijini Dar es Salaam. 
Mshindi wa pili wa mashindano ya Nandy Techno Stage, Faustina Mfinanga, akiwa kabebwa juu mara baada ya kuwasili kutoka Nigeria,jana jijini Dar es Salaam.
Nandy akiwaonesha wananchi waliofika kumpokea uwanja wa ndege wa Mwalimu Julius Nyerere , jana jijini Dar es Salaam.
Mshindi wa pili wa mashindano ya Techno Own Stage, Faustina Mfinanga, akiwa katika picha ya pamoja na ndugu zake jana jijini Dar es Salaam.(Picha na Emmanuel Massaka wa Globul ya Jamii)

Mshindi wa pili wa mashindano ya Techno Own Stage, Faustina Mfinanga aka Nandy,akizungumza na wandishi wa habari (hawapo pichani) juu ya ushindi alioupata nchini Nigeria baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege majira saa sita usiku wa kuamkia leo ,jijini Dar es salaam.

Michuzi Blog

Tanzanian blog operating since 2005, covering International news and Local News, including Politics, Fashion, Social Scenes, Interviews, Movies, Events, personalities and anything positive happening worldwide. Written in Swahili and English targeting both Swahili and English readers.

Toa Maoni Yako:

Kuna Maoni 1 mpaka sasa

  1. Faustina; hongera sana na mimi binafsi nakutolea salute kwa kuliwakilisha Taifa letu pendwa la Tanzania. Umefika ukiwa na alama na VISIBILITY ya nchi yetu ya Tanzania. Huu ni mwanzo tu mwanangu, kuna safari ndefu kwako mbele. Tunawaomba wazazi ndugu na walezi wakupe support utakayohitaji kwani huu ndio mustakbali wako wa maisha yako. Tena nasema, hongera sana na tupo nawe kwenye haya mazuri yakuliwakilisha Taifa letu. Tunakuombea pia kwa Serikali ikutambue na kukupa support utakayoihitaji.

    ReplyDelete

Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...