Mshambuliaji wa Yanga, Geofrey Mwashiuya akimtoka beke wa JKT Mlale, Lucas Chapanga katika mchezo wa Kombe la FA uliofanyika leo kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. Yanga ilishinda 2-1. Kwa matokeo hayo Yanga imeingia hatua ya robo fainali ya michuano hiyo. (Picha na Habari Mseto Blog)
Home
Unlabelled
MICHUANO YA KOMBE LA FA: YANGA YAIPIGISHA KWATA JKT MLALE KWA BAO 2-1
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Toa Maoni Yako:
0 comments so far,add yours
Hii ni Blog ya Watanzania popote walipo duniani kwa ajili ya kuhabarisha, kutoa/kupokea taarifa na kuelimisha mambo yote yaliyo chanya kwa Taifa letu. Tafadhali sana unapotoa maoni usichafue hali ya hewa wala usijeruhi hisia za mtu/watu. Kuwa mstaarabu...